Idara ya Vijana na Uimbaji inaratibu huduma kwa vijana pamoja na kwaya za kanisa katika ngazi zote.
Idara huandaa makongamano ya vijana, mafunzo ya uongozi na stadi za maisha, pamoja na matamasha na mashindano ya kwaya yanayokuza vipaji na umoja.
Lengo ni kuwa na kizazi cha vijana wanaomcha Mungu na kulitumikia kanisa kwa karama zao.
Shughuli Kuu
- Makongamano ya vijana
- Mafunzo ya uongozi na stadi za maisha
- Matamasha na mashindano ya kwaya
- Mafunzo ya muziki kwa waimbaji