Idara
Idara za Ofisi Kuu ya Kanisa la Moravian Tanzania zinazoratibu huduma na shughuli za kanisa.
Idara ya Sera, Mipango na Maendeleo
Kuandaa sera, mipango mikakati na kuratibu miradi ya maendeleo ya kanisa.
Idara ya Ukaguzi wa Ndani
Kuhakikisha uwazi, uwajibikaji na matumizi sahihi ya rasilimali za kanisa.
Idara ya Wanawake na Watoto
Kuwawezesha wanawake na kulinda haki na ustawi wa watoto ndani ya kanisa na jamii.
Idara ya Vijana na Uimbaji
Kuwalea vijana kiroho na kukuza huduma ya uimbaji na sifa katika kanisa.
Idara ya Maandiko
Kuandaa na kusambaza machapisho ya kiroho, vitabu vya ibada na mafundisho.
Idara ya Theologia (Jopo la Theologia)
Kulinda mafundisho sahihi na kutoa mwongozo wa kitheolojia kwa kanisa.