HISTORIA YA KANISA LA MORAVIAN TANZANIA
Kanisa la Moravian liliundwa mwaka 1457 na wafuasi wa shahidi John Hus, kama Umoja wa Ndugu. Dhehebu hilo lilikuja kujulikana kama Kanisa la "Moravian" miaka mingi baadaye, katika Karne ya Kumi na Nane, kwa sababu washiriki wake wengi walitoka jimbo la Moravia, ambalo sasa ni Jamhuri ya Cheki. Kanisa la Moravian mara nyingi limesimama mbele ya ulimwengu wa Kiprotestant. Dhehebu hilo lililokuwa miongoni mwa watu wa kwanza kuchapisha Biblia katika lugha ya kawaida. Kanisa la Moravian Tanzania (KMT) ni muungano wa majimbo ya Kanisa la Moravian nchini Tanzania. Idadi ya Wakristo wake imekadiriwa kuwa 738,000.
Uongozi wa Ofisi ya KMT
Watu wa ofisi kuu wa Kanisa la Moravian Tanzania.
Ask. Conrad Nguvumali Sikombe
Ask K.S. Panja
Rev Dr. Mary Elijah Kategile
Dada. B. Mambwe
Mch. I. Siame
mch. Y. Mwasambora
Ask. E. Yonah
Mch. E. Mtunda
ASK. L.A Mwankunga
Mch. B. Mwakalinga
Ask. Sikana
Mch. L. Nzowa
Ask. C.N. Sikombe
Mch A. Mwaikole
Ask. R.Y Pangani